Mgogoro wa wavuvi wa Tanzania na Kenya kutatuliwa

Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Hamad Masauni

Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Hamad Masauni amesema serikali inaangalia namna ya kutafuta ufumbuzi wa kutatua tatizo la kimpaka kwenye bahari ya Hindi kati ya Tanzania na Kenya baada ya kuwepo kwa muingiliano wa shughuli za uvuvi kati ya wavuvi wa nchi hizo mbili 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS