Wachezaji Stars kufundishwa uzalendo
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Wallace Karia amesema anatamani kuona Vijana wakipita kwenye mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa ‘JKT’ Ikuwasaidia vijana hao kuwa na Uzalendo pindi watakapozichezea timu za Taifa.

