Waajiriwa wapya 6 wakutwa na vyeti vyenye utata

Mkurugenzi wa TAKUKURU Hamduni Masauni

Waajiriwa  wapya 6 kati ya waajiriwa  553 wa mafunzo ya maafisa uchunguzi pamoja na maafisa uchunguzi wasaidizi wamekutwa na vyeti vyenye utata huku wawili 2 wakikutwa na vyeti vya kufoji

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS