Rais Museveni apuuza azimio la Ulaya.
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema kuwa hakuna atakayezuia mradi mkubwa wa bomba la mafuta Afrika mashariki, akipuuza azimio la wabunge wa Ulaya lililotaka mradi huo ucheleweshwe kutokana na lilichokiita ''ukiukwaji wa haki za binadamu''.

