TPC Open 2022 yaanza kwa kishindo. Wachezaji kutoka klabu Lugalo na TPC wameanza Vyema Shindano Kubwa la mchezo wa Gofu la TPC Open 2022 linaloendelea kwa siku ya pili leo ktika Viwanja vya Kiwanda cha Sukari cha TPC Mkoani Kilimanjaro. Read more about TPC Open 2022 yaanza kwa kishindo.