Haaland kafunga tena, Man City wanaongoza Ligi

Wachezaji wa Manchester City wakishangilia goli kwenye mchezo dhidi yaWolverhampton Wanderers

Mabingwa wa England Manchester City wamepanda kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu England EPL, baada ya kuinyuka Wolverhampton Wanderers mabao 3-0 kwenye mchezo uliochezwa katika dimba la Molineux. Sasa wanaongoza Ligi kwa tofauti ya alama 2 dhidi ya Arsenal wanaoshika nafasi ya pili.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS