Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhe. Khamis Hamza Khamis
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amefanya ziara ya kukagua ujenzi wa jengo la Ofisi ya Makamu wa Rais katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma.