"Vijana njooni kwenye sekta ya kilimo"- Rais Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amewataka vijana nchini kuingia kwnye sekta ya kilimo kani serikali imejipanga kuwapatia mashamba yenye hati na kuwasaidia wapate mikopo yenye riba nafuu.