Wataalam wa Afya watakiwa kutoa dawa kwa utaratibu
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ametoa maelekezo kwa wataalam wa dawa wakiwemo wafamasia kuzingatia miongozo ya utoaji wa dawa na kuhakikisha mwandiko unasomeka kwakuwa kutokufanya hivyo kunahatarisha afya za wagonjwa.

