Wavuvi watatu wapotea Feri Dar es salaam
Ukosefu wa vifaa vya kisasa vya kuvulia samaki kwa wavuvi katika eneo la soko la samaki la Feri hasa katika kipindi hiki cha msimu wa baridi kumedaiwa kusababisha wavuvi watatu kupotea baharini ndani ya kipindi cha mwezi wa sita na mwanzoni mwa mwezi wa saba mwaka huu