Jela kwa kujinufaisha kingono kupitia mtoto
Mahakama ya wilaya ya Lindi, imemhukumu mkazi wa Kijiji cha Navanga, Halmashauri ya Mtama kutumikia kifungo cha miaka 20 gerezani, baada ya kukutwa na hatia ya kujinufaisha kingono kwa mtoto mwenye umri wa miaka mitatu.

