"Mafuta ya kula yameshuka bei" - Rais Samia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema kwamba waziri wa Kilimo Hussein Bashe, amefanya kazi nzuri iliyopelekea bei ya mafuta ya kula nchini kushuka.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS