"Ruto hakuna haja ya kusema nataka kukuua" -Uhuru
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, amemuambia William Ruto, kwamba hana haja ya kuwaambia watu kuwa anataka kumuua na kusema yeye amekuwa akimtukana Kenyatta kwa takribani miaka mitatu na hajawahi kumgusa na kumtaka auze sera zake na aachane naye.