Moto wateketeza nyumba na magari Mbeya Magari matano ya kusafirisha mafuta na mizigo, yameteketea kwa moto ambao chanzo chake hakijulikani, uliozuka katika eneo la Chimala Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya Read more about Moto wateketeza nyumba na magari Mbeya