Bi. Joyce Malai, Afisa mkuu muendeshaji BancABC Tanzania
Ili Kuboresha huduma za kifedha kwa watanzania, BancABC tayari imezindua utaratibu wa riba kwa wateja watakaofungua akaunti za amana amabapo watapata riba ya hadi asilimia 11 papo hapo baada tu ya kujiunga na benki hiyo.