Wachezaji EPL waweka kiwango cha kupiga goti
Wachezaji wa vilabu vya ligi kuu ya Uingereza wamekubaliana kusitisha rasmi ishara ya kupinga ubaguzi wa rangi kwa kupiga goti katika kila mchezo wa ligi hiyo kuanzia msimu mpya utakao anza ijumaa wiki hii.