Matiko na wenzake kuangukia mikononi mwa Kibatala

Wabunge wa viti maalum, Esther Matiko, Ester Bulaya na Halima Mdee

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imetoa ruhusa ya Nusrati Hanje, Halima Mdee, Esther Matiko, Ester Bulaya, Jesca Kishoa na wenzao wawili kufika mahakamani na kuhojiwa na mawakili wa upande wa CHADEMA.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS