Tanzania na Zambia kurejesha undugu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema kwamba wamekubaliana na Rais wa Zambia Hakaiende Hichilema, kurejesha undugu ulioasisiwa na waasisi wa mataifa hayo mawili Hayati Nyerere na Hayati Kaunda.