Mbeya City waanza matizi kikosi cha Mbeya City. Mbeya City imeendelea kujifua kwa ajili ya msimu ujao, huku Kocha Msaidizi wa timu hiyo, Anthony Mwamlima akielezea ubora wa nyota wake katika mazoezi yao akiahidi makubwa pale Ligi Kuu itakapoanza, Agosti 17 mwaka huu. Read more about Mbeya City waanza matizi