"Mandonga anapenda Chips Mayai" - Afande Sele Kushoto ni bondia Karim Mandonga, kulia ni msanii Afande Sele Msanii Afande Sele amemzungumzia bondia anayetrend kwa sasa nchini Karim Mandonga kwa kusema anapenda sana kula chips na kufanya mazoezi. Read more about "Mandonga anapenda Chips Mayai" - Afande Sele