Esma Platnumz Amshauri Msanii Wa Nandy

Pichani Ni Esma Platnumz na Yammi

Dada wa msanii Diamond Platnumz Esam Platnumz ameamua kumshauri msanii kutoka label ya The African PrincessYammi Tz kuwa ni muimbaji mzuri lakini kitu kinacho muangusha ni performance zake stejini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS