Wizara ya Afya yadhamiria kupunguza gharama

Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel

Wizara ya Afya imesema ipo mbioni kukamilisha mpango wa manunuzi ya dawa moja kwa moja kutoka viwandani ikiwa ni katika jitihada za kupunguza makali ya gharama za vifaa tiba na dawa ambavyo vimekuwa vikipelekea gharama kubwa za matibabu kwa wananchi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS