Familia yadai ndugu yao kuuawa, Polisi wakanusha
Jeshi la Polisi Mkoani Kagera limesema kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa kijiji cha Byamtemba Kata ya Nsunga wilayani Missenyi mkoani Kagera, Jonathan Bunyaga alipata ajali na hajauawa na watu wasiojulikana kama inavyoelezwa