Wakuu wapya mikoa 9 wateuliwa, wengine watenguliwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa wakuu wa mikoa wapya tisa na kuwahamisha vituo vya kazi wakuu wa mikoa 7 na wengine 10 kubakia kwenye nafasi zao.