Mwili wa binadamu waokotwa bwawani Mwanza Mwanaume mmoja anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 35 amekutwa amefariki katika bwawa la maji lililopo Buhongwa wilayani Nyamagana mkoani Mwanza huku akiwa na majeraha sehemu za jicho la kushoto Read more about Mwili wa binadamu waokotwa bwawani Mwanza