Waziri China ahukumiwa kifo kwa hatia ya rushwa. Waziri wa zamani wa sheria nchini China Bw. Fu Zhenghua, ambaye alikua akiongoza mapambano ya kampeni dhidi ya rushwa amekutwa na hatia ya makosa ya rushwa. Read more about Waziri China ahukumiwa kifo kwa hatia ya rushwa.