Mume amuua mke wake aliyefunga naye ndoa Julai

Jeshi la polisi mkoani Morogoro linamshikilia Msafiri Nasibu (31) mkazi wa kitongoji cha Maskati kata ya Tegetero Halmashauti ya Morogoro kwa tuhuma za mauaji ya mke wake Mariam Vitaris (19) na mtoto wake wa miaka 2 huku chanzo cha mauaji hayo kikidaiwa ni mgogoro wa kifamilia

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS