Wananchi wazuia msafara wa Waziri wa maji
Wananchi wa kijiji na kata ya Kazuramimba wilayani Uvinza mkoani Kigoma, wamelazimika kufunga barabara na kuzuia msafara wa Waziri wa maji, wakishinikiza Serikali kutoa ufafanuzi kwa kata hiyo kukosa huduma ya maji safi na salama