Mama afukuzwa nyumbani baada ya kupata mpenzi
Mwanamke aitwaye Faustina Kimamba, mkazi wa Kijiji Cha Mapili wilayani Mlele mkoani Katavi ambaye ni mjane amefukuzwa na watoto wake kwenye nyumba na mashamba waliyotafuta na mumewe aliyefariki 2010, baada ya kuanzisha mahusiano na mtu mwingine.