Serikali yaahidi kusimamia madai ya madereva
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, itahakikisha inaendelea kusimamia madai ya madereva pamoja na haki za waajiri katika kutekeleza madai ya madereva wa malori.