Dkt. Nchemba aahidi maji kwa wananchi wa Iramba

Waziri wa Fedha na Mipango  Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amewahakikishia wakazi wa Kata za Mgongo na Shelui Wilayani Iramba mkoani Singida, kwamba wataondokana na changamoto ya uhaba wa maji hivi karibuni kupitia mradi mkubwa wa maji wa Ziwa Victoria.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS