Mbeya kujenga mnara wa Mashujaa Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Juma Homera Halmashauri ya Jiji la Mbeya, imepewa miezi mitatu, kujenga mnara wa Mashujaa wa Tanzania waliofariki kwenye vita ya Pili ya Dunia mwaka 1939/1945 na kuandika majina ya mashujaa hao ili kuweka kumbukumbu sahihi. Read more about Mbeya kujenga mnara wa Mashujaa