Mbunge akiri kufanyiwa ukatili mtandaoni
Mbunge wa Viti Maalum, mkoa wa Kagera, Neema Lugangira, amekiri kwamba yeye ni miongoni mwa watu wanaopitia ukatili wa kijinsia mtandaoni kwa kiwango kikubwa, hali amabyo ambaye ameieleza kuwaogopesha wanasiasa wengi wanawake wasiwe na ushiriki mzuri mitandaoni.