Zimamoto waeleza mtoto alivyounguza mabalo 50

Baadhi ya mabaki ya nguo zilizoungua

Zaidi ya mabalo 50 ya mitumba mali ya Ally Rajabu (40), mkazi wa mtaa wa Msangalale, jijini Dodoma, yameteketea kwa moto, ambapo Kamanda  Oparesheni wa  Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani humo, Deogratias Inanu, amesema moto huo umesababishwa na mtoto wa miaka mitatu aliyewasha kiberiti.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS