Babu anajisi mtoto kwa kumlaghai na pipi
Jeshi la Polisi mkoa wa Lindi, linamtafuta mkazi wa mtaa wa Jangwani, Halmashauri ya Manispaa hiyo, ambaye jina lake limehifadhiwa mwenye umri wa miaka 65, kwa tuhuma za kumnajisi mtoto mdogo wa umri wa miaka tisa, anayesoma darasa la pili, kwa kumlaghai kumpa pipi na shilingi 200.