"Kuna Mapapa wanadhamini uhalifu mgodini" - Hapi

Mkuu wa mkoa wa Mara Ally Hapi

Mkuu wa mkoa wa Mara Ally Hapi, amewaonya baadhi ya viongozi ambao wamekuwa wakiyawezesha makundi ya vijana kuvamia na kupora mawe ya madini ndani ya mgodi wa dhahabu wa Barrick North Mara.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS