Kiwanda chazalisha mafuta ya kula machafu Baadhi ya ndoo zinazohifadhia mafuta machafu Kupanda kwa bei ya mafuta ya kupikia nchini kumepeleka baadhi ya wafanyabishara wasio waaminifu jijini Mwanza kuzalisha mafuta katika mazingira machafu na kuwauzia wananchi. Read more about Kiwanda chazalisha mafuta ya kula machafu