Nado arejea uwanjani Iddi Seleman ‘Nado’ klabu ya Azam FC imethibitisha kupona na kurejea uwanjani kwa winga wake hatari Iddi Seleman ‘Nado’ aliyekaa nje karibu msimu mzima uliomalizika akiuguza majeraha yake. Read more about Nado arejea uwanjani