Dkt Mpango ampa maagizo Balozi Macocha Tembele

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango jana tarehe 20 Julai 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na balozi wa Tanzania nchini Indonesia Macocha Tembele, mazungumzo yaliofanyika Jijini Dar es salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS