Dkt. Mpango atoa maagizo kwa IGP Wambura
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango, amemuagiza IGP Camillius Wambura, kuangazia malalamiko yote yanayotolewa na wananchi kwa jeshi la polisi na kuwachukulia hatua askari wachache wanaoharibu taswira ya jeshi hilo.