Washindi jumuiya ya madola waahidiwa zawadi nono
Serikali imetenga kitita cha dola elfu 22,000 zaidi ya Sh 50 Milioni kwa wanamichezo watakaotwaa medali ya fedha, dhahabu, na shaba kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola inayotarajiwa kuanza tarehe 28 Julai hadi 08 Agosti, 2022 nchini Uingereza.