Maonesho ya wafanyabiashara mkoa wa Mara
Zaidi ya makampuni 500 kutoka ndani na nje ya nchi yanatarajiwa kushiriki katika maonyesho ya kimataifa ya biashara ya Mara International Business Expo yatakayofanyika mkoani Mara mwezi Septemba mwaka huu huku wafanya biashara zaidi ya 5000 wakitegemewa kushiriki maonyesho hayo