Matunda ya ziara ya Rais Samia nchni Oman Serikali kupitia kituo chenye dhamana ya uwekezaji nchini TIC imepokea ujumbe wa wawekezaji kutoka jumuiya ya nchi za kiarabu kwa ajili ya kufanya fursa za uwekezaji kwenye sekta mbalimbali ikiwemo mifugo. Read more about Matunda ya ziara ya Rais Samia nchni Oman