Kijana afungwa maisha kwa kulawiti na kubaka mtoto
Mahakama ya wilaya ya Arusha imemhukumu kifungo cha maisha Fadhil Sumayani (30 )kwa Kosa la kulawiti na kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka tisa wa darasa la tatu katika shule ya msingi Emawoi wilayani Arumeru mkoani Arusha.