Serikali kuanza kutoa elimu ya Katiba kwa wananchi

Waziri wa Katiba na Sheria Dkt Damasi Ndumbaro

Waziri wa Katiba na Sheria Dkt Damasi Ndumbaro amesema wizara yake inaanza kutoa elimu ya Katiba nchi nzima kwa kushirikiana na asasi zisizo za kiserikali kwa lengo la kuonesha mazuri na mabaya   yaliyomo ndani ya katiba hiyo

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS