Wanne wajeruhiwa ajalini Morogoro, chanzo chatajwa

Lori la basi yaliyogongana Morogoro

Watu wanne wamejeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea eneo la Mkambalani wilayani Morogoro, ikihusisha basi la Happy Nation lenye namba za usajili T 702 DGF likilokuwa linatokea Dar es Salaam kuelekea Bukoba na lori la mizigo lililokuwa linatoka Zambia kwenda Dar es Salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS