Serikali kujenga Vituo Atamizi vya kulea ujuzi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Prof. Joyce Ndalichako amesema kwa mwaka wa fedha 2022/23, serikali inatarajia kujenga Vituo Atamizi vya kulea ujuzi wa vijana kwenye kanda tano nchini.