England na kibarua kigumu kwa Hispania EURO
Wenyeji wa michuano ya Ulaya ya wanawake, timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Wanawake ya England inajiandaa kwa mchezo wao mgumu zaidi ya michuano ya EURO ya Wanawake watakapo umana na Uhispania katika hatua ya robo fainali Jumatano ya leo Julai 20, 2022.