Baridi Njombe, Iringa na Mbeya kufikia 4°C Ukungu wa baridi Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), imesema kwamba hali ya baridi itaendelea kuwepo ambapo katika mikoa ya Njombe, Iringa na Mbeya baridi inatarajiwa kufikia viwango vya chini vya nyuzi joto 4°C. Read more about Baridi Njombe, Iringa na Mbeya kufikia 4°C