Aliyemuua mke wake Dar akamatwa

Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam, Jumanne Muliro

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limemkamata Selemani Malima Mkazi wa Keko Mwanga kwa tuhuma za mauaji ya mke wake Husna Majaliwa aliyekuwa mkazi wa Goba kwa Awadhi kwa kumchoma na kitu chenye ncha kali tumboni

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS